Kutoka 37:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Naye akaifanya hiyo miti ya kuichukulia, ya mti wa mshita, akaifunika dhahabu, ili kuichukua hiyo meza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Alitengeneza mipiko miwili ya mjohoro ya kulibebea, akaipaka dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Alitengeneza mipiko miwili ya mjohoro ya kulibebea, akaipaka dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Alitengeneza mipiko miwili ya mjohoro ya kulibebea, akaipaka dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mipiko hiyo ya kubebea meza ilitengenezwa kwa mti wa mshita, na ilikuwa imefunikwa kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mipiko hiyo ya kubebea meza ilitengenezwa kwa mti wa mshita, na ilikuwa imefunikwa kwa dhahabu. Tazama sura |