Kutoka 37:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Naye akasubu vikuku vinne vya dhahabu kwa ajili yake, akavitia vile vikuku katika pembe nne, katika miguu yake minne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Aliitengenezea pete nne za dhahabu na kuzitia katika pembe zake nne mahali miguu ilipoishia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na kuzifungia kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Akasubu pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na kuzifungia kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne. Tazama sura |