Kutoka 37:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kisha akaifanyia upapi wa upana wa shibiri kuizunguka pande zote, akauzungushia ukingo wa urembo wa dhahabu ule upapi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Aliizungushia mviringo wa ubao wenye upana wa milimita 75, na kuifanyia ukingo wa dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda moja, na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne, na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote. Tazama sura |