Kutoka 36:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa ishirini na nane, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Urefu wa kila pazia ulikuwa mita 12 na upana mita 2. Mapazia yote yalikuwa ya kipimo kimoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, na upana wa dhiraa nne Tazama sura |