Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 nao wakasema na Musa, na kumwambia, Watu waleta vitu vingi sana zaidi ya hivyo vitoshavyo kwa ajili ya utumishi wa hiyo kazi, ambayo BWANA aliagiza ifanywe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mose na kumwambia, “Watu wameleta vitu vingi zaidi ya vile vinavyohitajiwa kwa kazi aliyotuagiza Mwenyezi-Mungu tuifanye.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 wakaja na kumwambia Musa, “Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo Mwenyezi Mungu ameagiza ifanyike.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 wakaja na kumwambia Musa, “Watu wanaleta vitu vingi kuliko tunavyohitaji kwa ajili ya kazi hii ambayo bwana ameagiza ifanyike.”

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walipomaliza, wakaleta mbele ya mfalme na Yehoyada fedha iliyobaki, na kwavyo vikafanywa vyombo vya nyumba ya BWANA, vyombo vya utumishi, navyo vya kutolea, na miiko, na vyombo vya dhahabu na fedha. Wakatoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya BWANA, mara kwa mara, siku zote za Yehoyada.


Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.


Na hao watu wote wenye ustadi, waliotumika katika kazi yote ya mahali patakatifu, wakaenda kila mtu kutoka katika kazi yake aliyokuwa akiifanya;


Basi Musa akatoa amri, nao wakatangaza mbiu katika kambi yote, wakisema, Wasifanye kazi tena, mwanamume wala mwanamke, kwa ajili ya matoleo kwa mahali patakatifu. Basi watu wakazuiwa wasilete tena.


Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Kristo Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo