Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Kisha akafanya mataruma ya miti ya mshita; matano kwa mbao za upande mmoja wa maskani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Alitengeneza pia pau za mjohoro: Pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Alitengeneza pia pau za mjohoro: Pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Alitengeneza pia pau za mjohoro: pau tano kwa ajili ya mbao za upande mmoja wa hema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa Maskani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:31
6 Marejeleo ya Msalaba  

Fanya ile miti ya mti wa mshita, na kuifunika dhahabu, kwamba ile meza ichukuliwe kwayo.


na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,


Na ile miti utaifanya kwa mti wa mshita, na kuifunikiza dhahabu safi.


Hivyo zilikuwa mbao nane, na vitako vyake vya fedha, vitako kumi na sita, vitako viwili chini ya kila ubao.


na mataruma matano kwa mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa hizo mbao za maskani zilizokuwa upande wa nyuma kuelekea magharibi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo