Kutoka 36:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Hivyo zilikuwa mbao nane, na vitako vyake vya fedha, vitako kumi na sita, vitako viwili chini ya kila ubao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hivyo kulikuwa na mbao nane na vikalio vyake vya fedha kumi na sita, vikalio viwili chini ya kila ubao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kwa hiyo kulikuwa na mihimili nane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kwa hiyo kulikuwa na mihimili minane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. Tazama sura |