Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za Maskani za upande uliokuwa mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande uliokuwa mbali.

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:28
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.


Nazo zilikuwa mbao pacha upande wa chini, vivyo hivyo zilishikamana pamoja hata ncha ya juu kufikia pete ya kwanza; ndivyo alivyofanya zote mbili katika hizo pembe mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo