Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Na kwa upande wa nyuma wa hiyo maskani kuelekea magharibi akafanya mbao sita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Upande wa nyuma, yaani magharibi mwa hema, alitengeneza mbao sita.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa Maskani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:27
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha ufanye mbao sita kwa ajili ya upande wa nyuma wa maskani kuelekea magharibi.


na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa pili wa maskani, na mataruma matano kwa ajili ya mbao za upande wa maskani ulio nyuma kuelekea magharibi.


na vitako vyake vya fedha arubaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine.


Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo