Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 Na kwa upande wa pili wa maskani upande wa kaskazini, akafanya mbao ishirini,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Na upande wa pili, yaani kaskazini mwa hema, alitengeneza pia mbao ishirini,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa upande wa kaskazini wa Maskani wakatengeneza mihimili ishirini

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:25
2 Marejeleo ya Msalaba  

naye akafanya vitako vya fedha arubaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.


na vitako vyake vya fedha arubaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo