Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 36:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 naye akafanya vitako vya fedha arubaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 na vikalio arubaini vya fedha chini ya hizo mbao 20; vikalio viwili chini ya kila ubao ili kushikilia zile ndimi zake mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.

Tazama sura Nakili

Kutoka 36:24
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.

Nawe ufanye vitako arubaini vya fedha chini ya zile mbao ishirini, vitako viwili chini ya ubao mmoja, kupokea zile ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kupokea zile ndimi zake mbili;

Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;

Na kwa upande wa pili wa maskani upande wa kaskazini, akafanya mbao ishirini,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo