Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: mbao ishirini upande wa kusini,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa Maskani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:23
2 Marejeleo ya Msalaba  

Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.


naye akafanya vitako vya fedha arubaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo