Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya Maskani jinsi hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.


Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu.


Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo