Kutoka 36:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kila ubao ulikuwa na urefu wa mita 4 na upana wa sentimita 66. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wa dhiraa moja na nusu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi, na upana wa dhiraa moja na nusu, Tazama sura |