Kutoka 36:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Kisha akafanya mbao za mti wa mshita kwa hiyo maskani, zilizosimama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Halafu akalitengenezea hema mbao za mjohoro za kusimama wima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani ya Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani. Tazama sura |