Kutoka 36:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Basi Musa akawaita Bezaleli na Oholiabu, na kila mtu aliyekuwa na moyo wa akili, ambaye BWANA alimtia moyoni mwake hekima, kila mtu ambaye moyo wake ulimhimiza ili aende kuifanya kazi hiyo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mose alimwita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu ambaye alikuwa amejaliwa ujuzi na Mwenyezi-Mungu, na kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma kufanya kazi kwa hiari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mose alimwita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu ambaye alikuwa amejaliwa ujuzi na Mwenyezi-Mungu, na kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma kufanya kazi kwa hiari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mose alimwita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu ambaye alikuwa amejaliwa ujuzi na Mwenyezi-Mungu, na kila mtu ambaye moyo wake ulimsukuma kufanya kazi kwa hiari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Ndipo Musa akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye Mwenyezi Mungu alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Ndipo Musa akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye bwana alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi. Tazama sura |