Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 36:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.

Tazama sura Nakili

Kutoka 36:19
4 Marejeleo ya Msalaba  

na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,

Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.

Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganye ile hema pamoja, ili iwe hema moja.

Kisha akafanya mbao za mti wa mshita kwa hiyo maskani, zilizosimama.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo