Kutoka 36:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganye ile hema pamoja, ili iwe hema moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja. Tazama sura |