Kutoka 36:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Naye akaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine. Tazama sura |