Kutoka 36:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kila pazia lilikuwa na urefu wa mita 13, na upana wa mita 2. Mapazia yote 11 yalikuwa ya kipimo kilekile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo sawa, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mapazia hayo kumi na moja yalikuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, na upana wa dhiraa nne. Tazama sura |