Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 36:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Maskani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

Tazama sura Nakili

Kutoka 36:14
2 Marejeleo ya Msalaba  

Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo