Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 36:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Kisha akafanya vifungo hamsini vya dhahabu, na kuyaunganya hayo mapazia hili na hili kwa vile vifungo; hivi ile maskani ilikuwa ni moja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha alitengeneza vifungo hamsini vya dhahabu ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia; hivyo, hema likawa kitu kimoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kisha wakatengeneza vifungo hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha zile fungu mbili za mapazia pamoja ili maskani ya Mungu ipate kuwa kitu kimoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kisha wakatengeneza vifungo hamsini vya dhahabu, na wakavitumia kufunga na kuunganisha zile fungu mbili za mapazia pamoja ili maskani ipate kuwa kitu kimoja.

Tazama sura Nakili

Kutoka 36:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha fanya hiyo maskani iwe na mapazia kumi; ifanye ya nguo ya kitani nzuri ya kusokota, pamoja na nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, pamoja na makerubi; kazi ya fundi stadi.

Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganisha hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.

Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo