Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 36:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Akafanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililokuwa katika kiungo cha pili; hayo matanzi yalikuwa yakabiliana hili na hili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Alitia vitanzi hamsini katika pazia la kwanza la kipande cha kwanza, na vitanzi hamsini kwenye utepe wa pazia la pili; vitanzi vyote vilielekeana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Wakatengeneza pia vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, navyo vitanzi vyote vikaelekeana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Wakatengeneza pia vitanzi hamsini katika pazia mmoja, na vitanzi vingine hamsini kwenye pazia la mwisho la fungu hilo lingine, nazo vitanzi vyote vikaelekeana.

Tazama sura Nakili




Kutoka 36:12
4 Marejeleo ya Msalaba  

Fanya tanzi hamsini upande wa mwisho wa pazia lile lililo la mwisho katika hayo yaliyounganywa pamoja, na tanzi hamsini upande wa mwisho wa lile pazia lililo nje katika hayo ya pili yaliyounganywa pamoja.


Kisha utafanya tanzi za rangi ya samawati upande wa mwisho wa pazia moja katika ule upindo wa fungu lake, vivyo hivyo utafanya upande wa mwisho wa ile pazia iliyo, katika fungu la pili.


Fanya matanzi hamsini katika pazia moja, na matanzi hamsini katika upande wa mwisho wa ile pazia iliyo katika kuungana kwa pili; hizo tanzi zitaelekeana.


Kisha akafanya matanzi ya rangi ya buluu katika ncha za pazia moja, katika upindo wa kiungo chake; akafanya vivyo hivyo katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo