Kutoka 36:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kisha akafanya matanzi ya rangi ya buluu katika ncha za pazia moja, katika upindo wa kiungo chake; akafanya vivyo hivyo katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Alitengeneza vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi vingine katika pazia la mwisho la kipande cha pili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Alitengeneza vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi vingine katika pazia la mwisho la kipande cha pili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Alitengeneza vitanzi vya buluu upindoni mwa pazia la mwisho la kipande cha kwanza, na vitanzi vingine katika pazia la mwisho la kipande cha pili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha wakatengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, pia wakafanya vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha wakatengeneza vitanzi vya kitambaa cha buluu kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu la kwanza, pia wakafanya vivyo hivyo na pazia la fungu la mwisho. Tazama sura |