Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 na vito vya shohamu, vito vya kutiwa kwa hiyo naivera na kwa hicho kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 vito vya sardoniki na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao na kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 vito vya sardoniki na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao na kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 vito vya sardoniki na vito vingine kwa ajili ya mapambo ya kizibao na kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 vito vya shohamu, na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kizibau na kile kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 vito vya shohamu, na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani.

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,


na vito vya shohamu, na vito vingine vya kutiwa kwa ile naivera, na kwa kile kifuko cha kifuani.


Nawe utatwaa vito viwili vya shohamu rangi ya chanikiwiti, nawe utachora juu yake majina ya wana wa Israeli;


Na kila mtu kati yenu aliye na moyo wa hekima na aje, na kuyafanya hayo yote ambayo BWANA ameyaagiza;


na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo