Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

8 na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 mafuta kwa ajili ya taa, viungo kwa ajili ya mafuta ya kupaka na kwa ajili ya ubani wenye harufu nzuri;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezo kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.


Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na miwa shekeli mia mbili na hamsini,


na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na kitako chake.


na viungo vya manukato, na mafuta; kwa hiyo taa, na kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri.


na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, ngozi za pomboo na mbao za mshita;


na vito vya shohamu, vito vya kutiwa kwa hiyo naivera na kwa hicho kifuko cha kifuani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo