Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Kisha Musa akanena na mkutano wote wa wana wa Israeli, akawaambia, Neno hili ndilo aliloliamuru BWANA, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Mose aliiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu amewaamuru mlifanye:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Musa akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloamuru:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Musa akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo bwana aliloamuru:

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

Tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani; nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima, ili wapate kutengeneza vyote nilivyokuagiza;


Hamtawasha moto katika nyumba zenu kwa siku ya Sabato.


Katwaeni kati yenu matoleo kwa BWANA; mtu yeyote aliye na moyo wa kupenda, ayalete matoleo; dhahabu na fedha na shaba;


Basi ndivyo ilivyomalizwa kazi yote ya maskani ya hema ya kukutania; na wana wa Israeli walifanya kama yote BWANA aliyomwagiza Musa, ndivyo walivyofanya.


Nawe utatia ndani yake sanduku la ushuhuda, nawe utalisitiri hilo sanduku kwa pazia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo