Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 35:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 naye amemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 naye amemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 naye amemjaza Roho wa Mwenyezi Mungu, pamoja na ustadi, na uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:31
13 Marejeleo ya Msalaba  

Naye alikuwa mwana wa mwanamke mjane wa kabila la Naftali, na babaye alikuwa mtu wa Tiro, mfua shaba; naye alikuwa mwingi wa hekima na akili, stadi wa kufanya kazi zote za shaba. Akamfikia mfalme Sulemani, akamfanyia kazi yake yote.


mwana wa mwanamke wa kabila la Dani, na babaye alikuwa mkazi wa Tiro, yeye ni bingwa wa kutumia dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe na mti; na wa nguo za urujuani, samawati, nyekundu na kitani safi; tena ni stadi kwa kutia nakshi na kuchora michoro yoyote, mbunifu na kuchora chochote kufuatana na kielekezo ambacho angepewa yeye na watu wako mastadi wa bwana wangu Daudi baba yako.


Nawe utawaambia watu wote wenye uwezo wa hali ya juu, niliowapa ubingwa wamfanyie Haruni mavazi ili awekwe wakfu anitumikie katika kazi ya ukuhani.


nami nimemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,


Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda;


na kuvumbua kazi za werevu, na kufanya kazi ya dhahabu, fedha na shaba,


Amewajaza watu hao ujuzi, ili watumike katika kazi za kila aina, mawe, na kazi ya fundi mwenye kutia taraza, katika nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri, ya mwenye kufuma nguo; ya hao wafanyao kazi yoyote, na ya wenye kuvumbua kazi za werevu.


Kwa maana Mungu wake anamwagiza vizuri na kumfundisha.


ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.


Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo