Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Kisha Musa akawaambia wana wa Israeli, Angalieni, BWANA amemwita kwa jina lake Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kisha Musa akawaambia Waisraeli, “Tazameni, Mwenyezi Mungu amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kisha Musa akawaambia Waisraeli, “Tazameni, bwana amemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:30
8 Marejeleo ya Msalaba  

naye amemjaza Roho ya Mungu, katika hekima, na akili, na ujuzi, na kazi ya ustadi kila aina;


Kwa maana Mungu wake anamwagiza vizuri na kumfundisha.


lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye.


Basi kuna karama tofauti; bali Roho ni yeye yule.


Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, kama mkuu wa wajenzi mwenye hekima, niliuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mtu na aangalie jinsi anavyojenga juu yake.


Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili, hutoka juu, hushuka kwa Baba wa mianga; kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeukageuka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo