Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 na viungo vya manukato, na mafuta; kwa hiyo taa, na kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 walileta pia viungo na mafuta kwa ajili ya taa, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Wakaleta pia vikolezo na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Wakaleta pia vikolezi na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima.


Na hao wakuu wakavileta vile vito vya shohamu, na vito vya kutiwa, kwa hiyo naivera, na kwa hicho kifuko cha kifuani,


na mafuta kwa hiyo taa, na viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, na kwa huo uvumba mzuri;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo