Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 35:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Kila mtu aliyetoa toleo la fedha, na la shaba, akaileta sadaka ya BWANA; na kila mtu, aliyeona kwake mti wa mshita kwa kazi yoyote ya huo utumishi, akauleta.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kila mtu aliyeweza kutoa fedha au shaba aliileta kwa Mwenyezi-Mungu kama toleo lake. Tena mtu yeyote aliyekuwa na mbao za mjohoro alileta pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa Mwenyezi Mungu, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yoyote ile akauleta.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa bwana, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yoyote ile akauleta.

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:24
4 Marejeleo ya Msalaba  

na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,


Tena kila mtu aliyeona kwake nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri, singa za mbuzi, ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu na ngozi za pomboo, akavileta.


Na wanawake wote waliokuwa na mioyo ya hekima, walisokota kwa mikono yao, nao wakaleta hizo walizokuwa wamezisokota, nguo za rangi ya samawati, na za rangi ya zambarau, na hizo nyuzi nyekundu, na hiyo nguo ya kitani nzuri.


Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo