Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 35:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, kwa ajili ya kutumika ndani ya mahali patakatifu, hayo mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 mavazi yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na ya wanawe, kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 mavazi yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na ya wanawe, kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 mavazi yaliyofumwa vizuri kabisa kwa ajili ya huduma ya mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na ya wanawe, kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu kwa ajili ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu kwa ajili ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.”

Tazama sura Nakili

Kutoka 35:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani;

na vile vigingi vya maskani, vigingi vya ua na kamba zake

Basi mkutano wote wa wana wa Israeli wakaondoka hapo mbele ya Musa.

na mavazi ya kazi nzuri kwa utumishi katika mahali patakatifu, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo