Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 35:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 na vile vigingi vya maskani, vigingi vya ua na kamba zake

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 vigingi vya hema takatifu na vya ua pamoja na kamba zake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 vigingi vya hema takatifu na vya ua pamoja na kamba zake;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 vigingi vya hema takatifu na vya ua pamoja na kamba zake;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 vigingi vya hema kwa ajili ya Maskani pamoja na ua na kamba zake;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 vigingi vya hema kwa ajili ya maskani pamoja na ua na kamba zake;

Tazama sura Nakili




Kutoka 35:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Vyombo vyote vya maskani vitumiwavyo katika utumishi wake wote, na vigingi vyake vyote, na vigingi vyote vya ule ua, vitakuwa vya shaba.


na hizo kuta za nguo za ua, viguzo vyake, vitako vyake na pazia la lango la ua;


na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, kwa ajili ya kutumika ndani ya mahali patakatifu, hayo mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika katika kazi ya ukuhani.


Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.


na kuta za nguo za ua, na sitara ya mlango wa ua, iliyo karibu na maskani, na karibu na madhabahu pande zote, na kamba zake zitumiwazo kwa matumizi yake yote.


na pazia za nguo za ua, na sitara ya ile nafasi ya kuingilia ya lango la ua, ulio karibu na maskani na madhabahu, kuzunguka pande zote, na kamba zake, na vyombo vyote vya utumishi wao, na yote yatakayotendeka kwavyo, watatumika katika hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo