Kutoka 35:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 na hizo kuta za nguo za ua, viguzo vyake, vitako vyake na pazia la lango la ua; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 vyandarua vya ua, nguzo zake na vikalio vyake, pazia la mlango wa ua; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, na pazia la ingilio la ua; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, pazia la ingilio la kwenye ua; Tazama sura |