Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 35:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 na hiyo madhabahu ya kufukizia uvumba, miti yake, hayo mafuta ya kupaka, huo uvumba mzuri na hicho kisitiri cha mlango, mlangoni mwa hiyo maskani;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 madhabahu ya ubani na mipiko yake, mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri, pazia la mlango wa hema takatifu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya Maskani;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya maskani;

Tazama sura Nakili

Kutoka 35:15
6 Marejeleo ya Msalaba  

Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo