Kutoka 35:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 na hicho kinara cha taa kwa mwanga, vyombo vyake, taa zake na hayo mafuta kwa nuru; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 vinara vya taa pamoja na vyombo vyake vyote, taa zake na mafuta yake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 vinara vya taa pamoja na vyombo vyake vyote, taa zake na mafuta yake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 vinara vya taa pamoja na vyombo vyake vyote, taa zake na mafuta yake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 kinara cha taa kwa ajili ya mwanga pamoja na vifaa vyake vyote, taa na mafuta kwa ajili ya mwanga; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 kinara cha taa kwa ajili ya mwanga pamoja na vifaa vyake vyote, taa na mafuta kwa ajili ya mwanga; Tazama sura |