Kutoka 35:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 yaani, hiyo maskani na hema yake, kifuniko chake, vifungo vyake, mbao zake, mataruma yake, viguzo vyake na vitako vyake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 kutengeneza hema takatifu, kifuniko chake na pazia lake, kulabu zake, pau zake, vikalio vyake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “Maskani ya Mungu pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako; Tazama sura |