Kutoka 35:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na kila mtu kati yenu aliye na moyo wa hekima na aje, na kuyafanya hayo yote ambayo BWANA ameyaagiza; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Kila mtu mwenye ujuzi wa kazi fulani miongoni mwenu atakuja kufanya vitu vyote alivyoamuru Mwenyezi-Mungu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu Mwenyezi Mungu alichoamuru: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu bwana alichoamuru: Tazama sura |