Kutoka 35:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Musa akakutanisha mkutano wote wa wana wa Israeli, na kuwaambia, Maneno aliyoyausia BWANA ni haya, kwamba myafanye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Musa akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndio mambo ambayo Mwenyezi Mungu amewaamuru ninyi mfanye: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Musa akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo bwana amewaamuru ninyi mfanye: Tazama sura |