Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kutoka 34:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Asikwee mtu pamoja nawe, wala asionekane mtu yeyote katika huo mlima; wala kondoo na ng'ombe wasilishwe mbele ya huo mlima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mtu yeyote asije pamoja nawe, wala asionekane popote mlimani; wala kondoo au ng'ombe wasilishwe karibu yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mtu yeyote asije pamoja nawe, wala asionekane popote mlimani; wala kondoo au ng'ombe wasilishwe karibu yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mtu yeyote asije pamoja nawe, wala asionekane popote mlimani; wala kondoo au ng'ombe wasilishwe karibu yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mtu yeyote asije nawe, wala asionekane mtu popote mlimani; wala kondoo na mbuzi au ng’ombe wasilishe mbele ya huo mlima.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mtu yeyote asije pamoja nawe, wala asionekane mtu popote juu ya mlima, wala kondoo na mbuzi au ng’ombe wasilishe karibu mbele ya huo mlima.”

Tazama sura Nakili




Kutoka 34:3
5 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo BWANA akamwambia Musa, Shuka chini, uwaonye watu wasije wakafanya njia kuja kwa BWANA kutazama, kisha wengi miongoni mwao wakaangamia.


Wala hapatakuwa na mtu katika hema ya kukutania, wakati aingiapo ili kufanya upatanisho katika patakatifu, hata atakapotoka nje, baada ya kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake, na kwa ajili ya mkutano wote wa Israeli.


Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;


maana hawakuweza kustahimili neno lile lililoamriwa, Hata mnyama akiugusa huo mlima atapigwa kwa mawe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo