Kutoka 32:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Tena BWANA akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, ni watu wakaidi Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Nawafahamu watu hawa; wao wana vichwa vigumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 bwana akamwambia Musa, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu. Tazama sura |
ila wakakataa kutii, wala hawakuyakumbuka maajabu yako, uliyoyafanya kati yao; lakini wakafanya shingo zao kuwa ngumu, na katika kuasi kwao wakaweka jemadari, ili wairudie hali ya utumwa; lakini wewe u Mungu, uliye tayari kusamehe, mwenye neema, mwenye huruma nyingi, si mwepesi wa hasira, u mwingi wa rehema, basi hukuwaacha.