Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 32:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 BWANA akawapiga hao watu, kwa tauni kwa kuifanya ile ndama, ambayo Haruni aliifanya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Mwenyezi-Mungu akawapelekea watu ugonjwa wa tauni, kwa kuwa walimwomba Aroni awafanyie yule ndama wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Mwenyezi-Mungu akawapelekea watu ugonjwa wa tauni, kwa kuwa walimwomba Aroni awafanyie yule ndama wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Mwenyezi-Mungu akawapelekea watu ugonjwa wa tauni, kwa kuwa walimwomba Aroni awafanyie yule ndama wa dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Ndipo Mwenyezi Mungu akawapiga watu kwa ugonjwa wa tauni kwa sababu ya yale waliyoyafanya na ndama yule ambaye alitengenezwa na Haruni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Ndipo bwana akawapiga watu kwa ugonjwa wa tauni kwa sababu ya yale waliyoyafanya kwa ndama yule ambaye alitengenezwa na Haruni.

Tazama sura Nakili




Kutoka 32:35
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini BWANA akampiga Farao na nyumba yake mapigo makuu, kwa ajili ya Sarai, mkewe Abramu.


Nikawaambia, Mtu yeyote aliye na dhahabu na aivunje; basi wakanipa, nami nikaitupa ndani ya moto, akatoka ndama huyu.


Basi Musa alipoona ya kuwa watu hawa wameasi, maana Haruni amewaacha waasi, na kuwa dhihaka kati ya adui zao,


Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu.


Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa patasi, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.


Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne.


(Basi mtu huyu alinunua shamba kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka.


Wakatengeneza ndama siku zile, wakaleta dhabihu kwa sanamu ile, wakafurahia kazi za mikono yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo