Kutoka 32:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wana wa Lawi wakafanya kama Mose alivyowaagiza. Siku hiyo waliuawa watu wapatao 3,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Walawi wakafanya kama Musa alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao elfu tatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Walawi wakafanya kama Musa alivyoamuru, siku ile wakafa watu wapatao 3,000. Tazama sura |