Kutoka 31:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 na kukata vito kwa kutiwa mahali, na kuchora miti, na kufanya kazi ya ustadi iwayo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi. Tazama sura |