Kutoka 31:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kwa ajili ya hayo wana wa Israeli wataishika Sabato, kuiangalia sana hiyo Sabato katika vizazi vyao vyote, ni agano la milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kwa hiyo Waisraeli wataiadhimisha siku ya Sabato katika vizazi vyao vyote kama ishara ya agano la milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Waisraeli wataishika Sabato, kuiadhimisha kwa vizazi vijavyo kuwa agano la milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Waisraeli wataishika Sabato, kuiadhimisha kwa vizazi vijavyo kuwa Agano la milele. Tazama sura |
Siku hizo niliona katika Yuda watu wengine waliosindika zabibu ili kupata mvinyo siku ya sabato, na wengine waliochukua miganda, na kuwapakia punda zao; tena na mvinyo, na zabibu, na tini, na namna zote za mizigo, waliyoileta Yerusalemu, siku ya sabato; nami nikashuhudia juu yao siku ile waliyouza vyakula.