Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kutoka 31:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 na mafuta ya kutiwa, na uvumba wa manukato mazuri, kwa ajili ya mahali patakatifu; sawasawa na yote niliyokuagiza ndivyo watakavyofanya wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri kwa ajili ya mahali patakatifu. Vitu hivyo vyote vitatengenezwa kulingana kabisa na jinsi nilivyokuamuru.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri kwa ajili ya mahali patakatifu. Vitu hivyo vyote vitatengenezwa kulingana kabisa na jinsi nilivyokuamuru.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 mafuta ya kupaka na ubani wenye harufu nzuri kwa ajili ya mahali patakatifu. Vitu hivyo vyote vitatengenezwa kulingana kabisa na jinsi nilivyokuamuru.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. “Watavitengeneza jinsi nilivyokuagiza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. Watavitengeneza sawasawa kama vile nilivyokuagiza wewe.”

Tazama sura Nakili

Kutoka 31:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe angalia ya kwamba uvifanye kama mfano wake, uliooneshwa mlimani.

BWANA akasema na Musa, na kumwambia,

Basi Bezaleli na Oholiabu watatenda kazi, na kila mtu mwenye moyo wa hekima, ambaye BWANA amemtia akili na hekima ili ajue kufanya kazi hiyo yote kwa huo utumishi wa mahali patakatifu, kama hayo yote BWANA aliyoyaagiza.

Kisha akayafanya hayo mafuta matakatifu ya kutiwa, na ule uvumba safi wa viungo vya manukato vizuri, kwa kuandama kazi ya mtengezaji manukato.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo