Kutoka 31:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 na mavazi yenye kufumwa kwa uzuri, na mavazi matakatifu ya Haruni kuhani, na mavazi ya wanawe, ili kutumika kwa ajili ya huduma yao ya ukuhani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 mavazi matakatifu ya kuhani Aroni na wanawe ambao watafanya huduma ya ukuhani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Haruni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani, Tazama sura |