Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 30:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Na Haruni na wanawe wataosha mikono yao na miguu yao humo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Aroni na wanawe watatumia maji hayo kunawia mikono na miguu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Haruni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji ya hilo sinia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Haruni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.

Tazama sura Nakili




Kutoka 30:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nitanawa mikono yangu bila ya kuwa na hatia, Na kuizunguka madhabahu yako, Ee BWANA


Kisha mlete Haruni na wanawe hata mlangoni pa hema ya kukutania, ukawaoshe kwa maji.


hapo waingiapo ndani ya hema ya kukutania; watajiosha majini, ili wasife; au hapo watakapoikaribia madhabahu ili watumike, kumteketezea BWANA sadaka ya moto;


Nendeni zenu, nendeni zenu, tokeni huko, msiguse kitu kichafu; tokeni kati yake; iweni safi ninyi mnaochukua vyombo vya BWANA.


Basi Musa akawaleta Haruni na wanawe, akawaosha kwa maji.


si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyoyatenda sisi; bali kwa rehema yake, kwa kuoshwa kwa kuzaliwa kwa mara ya pili na kufanywa upya na Roho Mtakatifu;


na tukaribie wenye moyo wa kweli, kwa utimilifu wa imani, hali tumenyunyiziwa mioyo tuache dhamiri mbaya, tumeoshwa miili kwa maji safi.


kwa kuwa ni sheria za jinsi ya mwili tu, vyakula na vinywaji na kunawa kwingine kwingine, zilizoamriwa hata wakati wa matengenezo mapya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo