Kutoka 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Naam, kilio cha Waisraeli kimenifikia; nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Naam, kilio cha Waisraeli kimenifikia; nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Naam, kilio cha Waisraeli kimenifikia; nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Sasa kilio cha Waisraeli kimenifikia, nami nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Sasa kilio cha Waisraeli kimenifikia, nami nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa. Tazama sura |