Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 29:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 nawe mvike kile kilemba kichwani, na lile taji takatifu utalitia katika kile kilemba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Tena utamvika kile kilemba kichwani na kuweka juu ya hicho kilemba ile taji takatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu lishikamane na hicho kilemba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.

Tazama sura Nakili




Kutoka 29:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.


wala asitoke katika mahali patakatifu, wala asipatie unajisi mahali patakatifu pa Mungu wake; kwa kuwa utakaso wa hayo mafuta ya kutiwa ya Mungu wake uko juu yake; mimi ndimi BWANA.


Akamvika na kile kilemba kichwani mwake; na juu ya kilemba, upande wa mbele, akakitia kile kipande cha dhahabu, hilo taji takatifu; kama BWANA alivyomwagiza Musa.


Nikasema, Na wampige kilemba kizuri kichwani pake. Basi, wakampiga kilemba kizuri kichwani pake, wakamvika mavazi; naye malaika wa BWANA akasimama karibu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo